Read, copy, and download the Washa lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Washa by Barnaba from the album Barnaba. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:42.70. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Washa]
[ar:Barnaba]
[al:Barnaba]
[lang:Tagalog]
[length:03:42.70]
[by:Jun]
[re:www.LRCFind.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:01.19]Yaga
[00:02.96]Don't be selfish baby
[00:05.70](Aha yaga)
[00:10.48]Naah...
[00:13.32]This is Barnaba boy classic
[00:17.07]Abbah!
[00:18.28]Nilie nae hana kasoro
[00:20.48]Ya nini nipashe viporo
[00:23.38]Uliniacha totoro
[00:26.07]Bila ya godoro
[00:27.89]Mpenzi kiberiti (washa)
[00:30.63]Siwezi kusaliti (washa)
[00:32.36]Yeye sabuni mie jiki (washa)
[00:34.84]Mie jiki... (washa), mie jiki... (washa)
[00:37.83]Maji mwenzake kopo oh
[00:40.20]Tucheze kidalipo oh
[00:42.69]Huko ulipo oh
[00:45.45]Salamu zikufikie
[00:48.10]Yameandikwa maandiko
[00:49.86]Usiibe mboga usilambe mwiko oh
[00:53.44]Kurudi kwako ni ndoto ah
[00:55.21]Sitaki yajirudie
[00:57.58]Nile naye kwa siku mara tatu
[01:00.47]Kama mgonjwa wa homa
[01:03.20]Nikiumwa na pona
[01:04.73]Dozi nzuri yaani ile kuona
[01:07.40]Penzi ukalivika ngozi ya chatu
[01:10.03]Vya kupika ulichoma
[01:12.69]Penzi ukaliunguza
[01:14.60]Unataka kurudi hapana
[01:17.04]Maana
[01:18.05]Nile nae hana kasoro
[01:20.10]Ya nini nipashe viporo
[01:22.99]Uliniacha totoro
[01:25.36]Bila ya godoro
[01:27.28]Mpenzi kiberiti (washa)
[01:29.42]Siwezi kumsaliti (washa)
[01:31.81]Ye sabuni mie jiki
[01:33.70]Mie jiki... (washa), mie jiki... (washa)
[01:35.45]Mpenzi kiberiti (washa)
[01:39.51]Siwezi kumsaliti (washa)
[01:41.85]Yeye sabuni mie jiki (washa)
[01:44.04]Mie jiki... (washa), mie jiki... (washa)
[01:47.21]Nah nah nah...
[01:49.94]Nah nah nah nah...
[01:52.62]Hmmmmmh...
[01:55.97]Nah nah nah...
[01:57.08]Ukiachwa achika
[01:59.22]Ukimwagwa mwagika
[02:01.41]Ukitemwa temeka
[02:03.69]Penzi bovu yanini kung'ang'ania
[02:06.61]Roho unaisononesha
[02:08.96]Moyo unaukondesha aah
[02:11.71]Wakati hujapendeka
[02:13.84]Wako wengi wanaokutamani
[02:16.22]Kaaga kaenda kwa mama (mdogo)
[02:18.91]Waja kumfumaga bar (majogoo)
[02:21.48]Ya nini kujisononesha
[02:23.70]Mtoto mdogo wajipaga pressure bure
[02:26.25]Nile naye kwa siku mara tatu
[02:29.53]Kama mgonjwa wa homaa
[02:32.10]Nikiumwa na pona
[02:34.05]Dozi nzuri yaani ile kuona
[02:36.39]Penzi ukalivika ngozi ya chatu
[02:39.53]Vya kupika ulichoma
[02:41.87]Penzi ukaliunguza
[02:43.81]Unataka kurudi hapana
[02:45.91]Maana
[02:46.71]Nile nae hana kasoro
[02:48.87]Ya nini nipashe viporo
[02:51.81]Uliniacha totoro
[02:54.48]Bila ya godoro
[02:56.38]Mpenzi kiberiti (washa)
[02:58.79]Siwezi kumsaliti (washa)
[03:01.15]Ye sabuni mie jiki
[03:03.55]Mie jiki... (washa), mie jiki... (washa)
[03:06.17]Mpenzi kiberiti (washa)
[03:08.88]Siwezi kumsaliti (washa)
[03:10.99]Yeye sabuni mie jiki (washa)
[03:13.54]Mie jiki... (washa), mie jiki... (washa)
[03:22.33]LRCFind.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Washa by Barnaba
1. Who is the singer of "Washa" song?
⇒ Barnaba has sung the song "Washa".
2. Which album is the "Washa" song from?
⇒ The song "Washa" is from the album Barnaba.
3. In which language is the "Washa" song composed?
⇒ The song "Washa" is composed in the Tagalog language.
4. What is the official duration of the "Washa" song?
⇒ The official duration of "Washa" is 03:42.70.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Barnaba - Washa