Read, copy, and download the Tega Sikio (Uko Wapi) lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Tega Sikio (Uko Wapi) by Bony Mwaitege from the album Mama Ni Mama. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 07:34.07. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Tega Sikio (Uko Wapi)]
[ar:Bony Mwaitege]
[al:Mama Ni Mama]
[lang:Swahili]
[length:07:34.07]
[by:Jun]
[re:www.LRCFind.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:35.28]Tega sikio, usikilize wimbo
[00:40.93]Nataka kusema nawe kupitia wimbo
[00:46.41]Tega sikio, usikilize wimbo
[00:52.17]Nataka kusema nawe kupitia wimbo
[01:03.33]Tega sikio, usikilize wimbo
[01:08.88]Nataka kuhubiri kwa njia ya wimbo
[01:14.61]Tega sikio, usikilize wimbo
[01:20.46]Nataka kusema nawe kupitia wimbo
[01:31.02]Dhambi litaka mwanadamu na Mungu watengane
[01:36.59]Ndio maana ilimshawishi Adamu ajifiche
[01:42.32]Dhambi litaka mwanadamu na Mungu watengane
[01:48.21]Ndio maana ilimshawishi Adamu ajifiche
[01:53.96]Lakini Mungu wa upendo alimuita Adamu
[01:59.74]Kwa sauti ya upendo alimuita Adamu
[02:05.29]"Uko wapi Adamu, uko wapi?"
[02:10.97]"Uko wapi Eva, uko wapi?"
[02:16.63]Mungu wa upendo aliita
[02:27.68]Uko wapi kaka, uko wapi?
[02:33.38]Uko wapi dada, uko wapi?
[02:39.09]Yesu anakutafuta sana, uko wapi?
[02:44.69]Yesu anakutafuta sana, uko wapi?
[02:51.34]Usifanye moyo mgumu, ndugu yangu njoo
[03:01.54]Uko wapi kaka, uko wapi?
[03:07.34]Uko wapi dada, uko wapi?
[03:12.92]Yesu anakutafuta sana, uko wapi?
[03:18.61]Yesu anakutafuta sana, uko wapi?
[03:25.29]Usifanye moyo mgumu, ndugu yangu njoo
[03:40.99]Where are you my young brother, where are?
[03:46.60]Where are you my young sister, where are?
[03:52.38]God loves you my dear, where are?
[03:58.02]God loves you my dear, where are?
[04:09.13]Where are you my young brother, where are?
[04:14.66]Where are you my young sister, where are?
[04:20.30]God loves you my dear, where are?
[04:26.06]God, he loves you my dear, where are?
[04:43.53]Mikutano ya injili inayofanyika
[04:49.02]Duniani kote kila siku
[04:54.32]Ni Mungu anakutafuta mwanadamu
[05:00.62]Semina za injili zinazofanyika
[05:06.19]Duniani kote kila siku
[05:11.25]Ni Mungu anakutafuta mwanadamu
[05:17.18]Amemtuma Yesu msalabani
[05:22.86]Ili kukutafuta mwanadamu
[05:28.48]Alimtuma Yesu Golgotha
[05:34.28]Ili kukutafuta mwanadamu
[05:39.90]Uko wapi kaka, uko wapi?
[05:45.50]Uko wapi dada, uko wapi?
[05:51.16]Yesu anakutafuta sana, uko wapi?
[05:56.81]Yesu anakutafuta sana, uko wapi?
[06:02.23]Uko wapi kaka, uko wapi?
[06:07.91]Uko wapi dada, uko wapi?
[06:13.54]Yesu anakutafuta sana, uko wapi?
[06:19.23]Yesu anakutafuta sana, uko wapi?
[06:26.11]Usifanye moyo mgumu, ndugu yangu njoo
[06:41.93]Where are you my young brother, where are?
[06:47.59]Where are you my young sister, where are?
[06:52.88]God loves you my dear, where are?
[06:58.48]God loves you my dear, where are?
[07:04.14]Where are you my young brother, where are?
[07:09.82]Where are you my young sister, where are?
[07:15.40]God loves you my dear, where are?
[07:21.12]God loves you my dear, where are?
[07:27.21]LRCFind.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Tega Sikio (Uko Wapi) by Bony Mwaitege
1. Who is the singer of "Tega Sikio (Uko Wapi)" song?
⇒ Bony Mwaitege has sung the song "Tega Sikio (Uko Wapi)".
2. Which album is the "Tega Sikio (Uko Wapi)" song from?
⇒ The song "Tega Sikio (Uko Wapi)" is from the album Mama Ni Mama.
3. In which language is the "Tega Sikio (Uko Wapi)" song composed?
⇒ The song "Tega Sikio (Uko Wapi)" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Tega Sikio (Uko Wapi)" song?
⇒ The official duration of "Tega Sikio (Uko Wapi)" is 07:34.07.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Bony Mwaitege - Tega Sikio (Uko Wapi)