Read, copy, and download the Nikikupata lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Nikikupata by Ben Pol from the album Maboma (Deluxe Edition). Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:19.20. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Nikikupata]
[ar:Ben Pol]
[al:Maboma (Deluxe Edition)]
[lang:Swahili]
[length:03:19.20]
[by:Jun]
[re:www.LRCFind.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:09.65]Maisha yangu mi'
[00:11.47]'Meshafanya vingi na kukutana na wengi
[00:14.93]Kama warembo nao
[00:16.51]Nimeshakuwa na wengi ila sio siri umewazidi
[00:19.57]Uzuri sio sura ma'
[00:21.76]Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
[00:24.77]Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
[00:30.14]Uzuri sio sura ma'
[00:32.23]Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
[00:35.30]Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
[00:40.89]Nikikupata, milele nitafurahi
[00:45.36]Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
[00:51.20]Nikikupata, milele nitafurahi
[00:55.86]Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
[01:01.14]Heshima ya mapenzi, ubora wa mapenzi
[01:04.51]Wawili kuaminiana
[01:06.43]Heshima ya mapenzi, furaha ya mapenzi
[01:09.50]Mi' na we' tukipendana
[01:11.74]Na mi' ninaapa, kukupa thamani ya penzi unalopaswa
[01:16.88]Kamwe sitofanya, kinyume na thamani ya pendo nikakosa
[01:22.10]Uzuri sio sura ma'
[01:24.11]Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
[01:27.27]Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
[01:32.31]Uzuri sio sura ma'
[01:34.40]Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
[01:37.38]Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
[01:43.03]Nikikupata (oh), milele nitafurahi (milele nitafurahi)
[01:47.69]Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai (mwisho wa uhai)
[01:53.45]Nikikupata, milele nitafurahi (milele nitafurahi)
[01:58.07]Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai (hadi mwisho wa uhai)
[02:03.80]Maisha yangu mi'
[02:05.53]'Meshafanya vingi na kukutana na wengi
[02:09.10]Kama warembo nao
[02:10.69]Nimeshakuwa na wengi ila sio siri umewazidi
[02:13.78]Uzuri sio sura ma'
[02:16.03]Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
[02:19.00]Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
[02:24.31]Uzuri sio sura ma'
[02:26.42]Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
[02:29.38]Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
[02:34.96]Nikikupata (oh), milele nitafurahi (milele nitafurahi)
[02:39.56]Nitaimba nakupenda (nakupenda), hadi mwisho wa uhai (mwisho wa uhai)
[02:45.19]Nikikupata, milele nitafurahi (milele nitafurahi)
[02:50.01]Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai (mwisho wa uhai)
[02:57.27]LRCFind.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Nikikupata by Ben Pol
1. Who is the singer of "Nikikupata" song?
⇒ Ben Pol has sung the song "Nikikupata".
2. Which album is the "Nikikupata" song from?
⇒ The song "Nikikupata" is from the album Maboma (Deluxe Edition).
3. In which language is the "Nikikupata" song composed?
⇒ The song "Nikikupata" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Nikikupata" song?
⇒ The official duration of "Nikikupata" is 03:19.20.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Ben Pol - Nikikupata