Read, copy, and download the Natamba lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Natamba by Aslay from the album Natamba. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 03:38.40. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.
[ti:Natamba]
[ar:Aslay]
[al:Natamba]
[lang:Swahili]
[length:03:38.40]
[by:Jun]
[re:www.LRCFind.com]
[ve:v0.0.5]
[00:00.00]
[00:04.91]Natamba, Natamba Aaa
[00:19.63]Kilicho nishawishi upole wako, na heshima yako
[00:23.96]Wazazi wangu wamekusifia sana kwa tabia yako
[00:28.33]Sura yako ya upole, inanivutia
[00:33.90]Shepu Twiga mwenda pole, najivunia
[00:38.26]Oh tupeane mapenzi iwachome(Eeee)
[00:40.98]Nakama namba waisome(Eeee)
[00:43.66]Hata tukigombana wasione(Eeee)
[00:46.02]Washike jembe wakalime(Eeee)
[00:48.44]Mapenzi mazuri wakutane wawili wanaopendana
[00:53.14]Usizidishe washauri, watasababisha tuje kugombana
[00:58.44]Aaaaae! angalia shepu, Aaaaae! Ka-Wema Sepetu
[01:08.57]Aaaaae! Angalia jicho, Aaaaae! Hamissa Mobetto
[01:12.88]Aaaaae! Karangi kake, Aaaaae! Elizabeth Michael
[01:17.63]Aaaaae! Yani we mrembo, Aaaaae! Walah nachukua jiko
[01:22.10]We ndio wangu wa milele
[01:25.16]♪
[01:28.79]Nauza dagaa, ili ninunue motorcar nikuridhishe
[01:33.95]Unanipa furaha, na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe
[01:38.64]Unanyota ya Adam na Hawa(Ohooo), Tunavyopendana
[01:43.17]Hata wakituchukia ni sawa (Ohooo), Tuaminie Mama
[01:48.13]Wanaona umenipa dawa (Ohooo), wanaongea sana
[01:53.10]Chunga usije kuota mbawa (Ohooo), Ukaniachaga kilema
[01:57.77]Katabiri pweza penzi litafika mbali, Nacheka kiingereza
[02:02.66]Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali, Mh Jamani
[02:07.07]Katabiri pweza penzi litafika mbali, Kwakweli hamtoweza
[02:12.34]Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali
[02:15.62]Basi baby nikumbatie mama
[02:18.30]Aaaaae! angalia shepu, Aaaaae! Ka-Wema Sepetu
[02:22.29]Aaaaae! Angalia jicho, Aaaaae! Hamissa Mobetto
[02:26.87]Aaaaae! Karangi kake, Aaaaae! Elizabeth Michael
[02:30.90]Aaaaae! Yani we mrembo, Aaaaae! Walah nachukua jiko
[02:36.15]We ndio wangu wa milele, milelee
[02:37.69]LRCFind.Com
This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)
You May Listen Natamba by Aslay
1. Who is the singer of "Natamba" song?
⇒ Aslay has sung the song "Natamba".
2. Which album is the "Natamba" song from?
⇒ The song "Natamba" is from the album Natamba.
3. In which language is the "Natamba" song composed?
⇒ The song "Natamba" is composed in the Swahili language.
4. What is the official duration of the "Natamba" song?
⇒ The official duration of "Natamba" is 03:38.40.
5. Can I reupload this LRC file on the internet?
⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.
6. Does this LRC file perfectly match the official song?
⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).
Aslay - Natamba