• rclyrisband-search
  • Home Search Dark Mode Request LRC Singer AIO Editor LRC Maker Request List LRC File Basics Privacy Policy Credits About Contact

    Download Mwalimu wa Ndoa Lyrics by Bahati Bukuku - Read, Copy & Get LRC, PDF, TXT, SRT Files

    Read, copy, and download the Mwalimu wa Ndoa lyrics LRC file, which provides synchronized music subtitles for the song Mwalimu wa Ndoa by Bahati Bukuku from the album Mwalimu wa Ndoa. Our LRC file is created using the free "LRC File Maker" tool and matches the official length of the song, which is 06:11.92. Additionally, you can download the lyrics in TXT (.txt), SRT (.srt), and PDF (.pdf) formats.



    Mwalimu wa Ndoa by Bahati Bukuku LRC Format

    [ti:Mwalimu wa Ndoa]
    [ar:Bahati Bukuku]
    [al:Mwalimu wa Ndoa]
    [lang:Italian]
    [length:06:11.92]
    [by:Jun]
    [re:www.LRCFind.com]
    [ve:v0.0.5]
    [00:00.00]
    [00:12.62]Natafuta mwalimu popote alipo, oooh
    [00:17.52]Natafuta mshauri popote alipo, oooh.
    [00:24.30]Natafuta mwalimu popote alipo, oooh.
    [00:30.07]Natafuta mshauri popote alipo, oooh.
    [00:35.72]Natafuta mwalimu popote alipo, oooh
    [00:42.86]Natafuta mshauri popote alipo, oooh
    [00:48.78]Nani Mwalimu wa ndoa, anifundishe na mimi nimuelewe.
    [00:56.19]Nani mwalimu wa ndoa, aniifundishe nami nijifunze upya
    [01:02.19]Nani Mwalimu wa ndoa, anifundishe na mimi nimuelewe.
    [01:08.27]Nani mwalimu wa ndoa, aniifundishe nami nijifunze upya
    [01:14.61]Ninapo tafuta majibu kwa wengi,
    [01:30.53]Sijapata ni nani wa kujibu swali languuu.
    [01:39.19]Ninapo fanya utafiti kwa wengi,
    [01:45.42]sijapata mtu wa kujibu swali languuu.
    [01:50.90]Nani, mwaalimu mzurii, nani, mshauri mzurii.
    [02:02.85]Darasa la kwanza, mpaka la saba nilipo maliza walinipa cheti.
    [02:11.28]Sekondari na vyuo vyote, mwisho wa masomo walinipa cheti.
    [02:17.11]Lakini, kitu ndoa.
    [02:20.52]Nilipoonyesha moyo wa kujiunga na hii taasisi, sijui shirika.
    [02:28.91]Kabula sijafuzu masomo walimu wangu walinipa cheti.
    [02:36.51]Nilipoonyesha nia ya moyo walimu walinipa cheti.
    [02:43.25]Kinachonitia uchungu zaidi,
    [02:44.32]Walimu waliofundisha vyema.
    [02:51.88]Kesho unamkuta darasani tena, anageuka kuwa mwanafunzi upya.
    [03:04.46]Na yule aliyefundishwa jana, anageuka kuwa mwalimu.
    [03:18.02]Oooh-ooooh.
    [03:24.00]Hakuna kitu kibaya kama ndoa ikikosa
    [03:29.08]Amani, hata ukicheka unaonekana unazomea.
    [03:36.15]Hakuna kitu kibaya kama ndoa ikipoteza upendo,
    [03:42.00]Hata ukipata mafuta unaonekana umepakaa vumbi eeeh.
    [03:49.27]Nani mwalimu wa ndoa, anifundishe na mimi nimuelewe.
    [03:56.83]Nani mwalimu wa ndoa, anifundishe nami nijifunze upya.
    [04:03.16]Nani mwalimu wa ndoa, anifundishe na mimi nimuelewe.
    [04:09.01]Huwezi kutumia kanuni ya ndoa yako,
    [04:14.54]Ili itumike kutibia ndoa ya mwingine.
    [04:19.94]Huwezi kutumia kanuni ya mtu mwingine,
    [04:27.82]Ili uweze kuponya ndoa ya kwako weeeh.
    [04:33.76]Huwezi kutumia tabia ya mume wako,
    [04:39.39]Ili uweze kurekebisha mume wa mwingine.
    [04:46.06]Huwezi kutumia mke wako, ili uweze kurekebisha mke wa mwingine.
    [04:57.66]Nani mwalimu wa ndoa, anifundishe na mimi nimuelewe.
    [05:05.93]Nani mwalimu wa ndoa, anifundishe nami nijifunze upya.
    [05:11.75]Neema ya mungu inahitajika hapo, neema ya mungu, (kwa mume wako).
    [05:18.21]Huruma ya mungu inahitajika hapo, huruma ya mungu (kwa mke wako).
    [05:24.01]Neno la mungu linahitajika, neno la mungu (omba kwa bidii)
    [05:30.11]Neno la mungu linahitajika, neno la mungu (omba bila kukoma
    [05:37.10]Neema ya mungu inahitajika hapo, neema ya mungu, (mlilie mungu tu
    [05:42.74]Huruma ya mungu linahitajika, neno la mungu (anaweza kuponya)
    [05:48.68]Neno la mungu linahitajika, neno la mungu kwenye ndoa muombe tena
    [05:55.27]Huruma ya mungu inahitajika hapo, huruma ya mungu (kwenye ndoa yako).
    [06:08.99]LRCFind.Com

    This LRC file may not match your music if the duration is not the same. Click Edit below and simply apply an offset (+0.10 sec, -0.10 sec, etc.)



    Try Our Free Tools


    You May Listen Mwalimu wa Ndoa by Bahati Bukuku

    apple music logospotify music logoamazon music logotidal music logoyoutube music logo

    Maamuzi

    Wewe Ni Baba

    Mimi Nasafiri

    Nani Nabii

    Mapito

    Natamani

    Magonjwa Yote

    Nyakati Za Mwisho

    Nimekukimbilia

    Mwalimu wa Ndoa

    Abneli


    FAQ:

    1. Who is the singer of "Mwalimu wa Ndoa" song?

    ⇒ Bahati Bukuku has sung the song "Mwalimu wa Ndoa".

    2. Which album is the "Mwalimu wa Ndoa" song from?

    ⇒ The song "Mwalimu wa Ndoa" is from the album Mwalimu wa Ndoa.

    3. In which language is the "Mwalimu wa Ndoa" song composed?

    ⇒ The song "Mwalimu wa Ndoa" is composed in the Italian language.

    4. What is the official duration of the "Mwalimu wa Ndoa" song?

    ⇒ The official duration of "Mwalimu wa Ndoa" is 06:11.92.

    5. Can I reupload this LRC file on the internet?

    ⇒ Sorry, you are not allowed to reupload this LRC file on the internet without permission. This is only for your personal use.

    6. Does this LRC file perfectly match the official song?

    ⇒ Yes, it does most of the time, but sometimes you may need to apply an offset using our tool, LRC File Maker (e.g., +10 or -10).

    Bahati Bukuku - Mwalimu wa Ndoa